Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
vyombo vya habari vingi vinaonesha ...mfano uhai tv ya azam
Hizo zingine za binafsi zinaweza kuonyesha hata bure maana ni za makada wao , wala hatuna ugomvi nao , lakini TBC ni mali ya Ummavyombo vya habari vingi vinaonesha ...mfano uhai tv ya azam
hahahahahaha mkuu sasa si unaona ata siku hizi bunge tunalipata live bila chenga.Hizo zingine za binafsi zinaweza kuonyesha hata bure maana ni za makada wao , wala hatuna ugomvi nao , lakini TBC ni mali ya Umma
nakusalimia sanaMalalamiko Fc huwa hawaishiwi cha kukosoa
nakusalimia sana
habari za uzima ...Marahabaa
haihusiani na kutumia chombo cha umma bureCCM ni chama dola usisahau hilo bwashee!
habari za uzima ...
Hao ni makada wa ccm,tbc ni jina tuHili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM .
Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha , bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia .
fafanuaHizi ndo siasa za kizamani hizi..
Baada ya Magufuli kuondoka nilifikiri tunaachana na siasa hizi...
Still bado wengine hamuelewi
fafanua
Hilo umelitoa kwenye katiba ipi ? tukitaka haki iwepo ni lazima vyama vyote vya siasa viwekwe kwenye mizani moja , kwa maana ya kuwa na haki sawa , vinginevyo basi turuhusu na hela ya nchi kuliwa na ccm kwa vile wana public interestMkutano wa CCM ni public interest
Huwezi fananisha na mkutano wa CHAUMMA..