Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 228
Ana miaka mingapi huyu binti?
Nadhani TBC watakua wanachukulia kwamba ni mtoto (chini ya 18), kwa hiyo wamemlinda.
Labda wanamficha asijulikane na maadui zake ambao ni washabiki wa Marehemu Kanumba!
Kwa sababu alikuwa analia.
Captain Komba kicheko tu saizi
Wake wenzieHii fomula mvona siielewi? Mashabiki wa Kanumba=Maadui wa Lulu?!! Siyo 'shemeji' yao tena? Kumbukeni huyu binti kafiwa na mpenzi wake.. Muwe na roho ya utu walau kidogo..