TBC1 rekebisheni hili neno Mbashara liwe Mubashara

TBC1 rekebisheni hili neno Mbashara liwe Mubashara

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,321
Reaction score
18,574
Mkirusha matukio live mnaandika Mbashara hiki kiswahili cha wapi? Hili neno linaandikwa Mubashara msituletee mambo ya kihuni kama wale wapuuzi wanaotumia "X" badala ya "S", kuandika "hile" badala ya "ile" rekebisheni haraka msituandikie lugha za kihuni kama mmeishia chekechea.

Hiyo televisheni ya Taifa

IMG_20200913_112935.jpg
 
Hivi hawajui kama kuna Ufunguzi wa kampeni za ACT-Wazalendo!!

Au hao sio katika walipa kodi wa Tanzania, ambao kimsingi ndio wanawalipa Mishahara!!
 
Hivi hawajui kama kuna Ufunguzi wa kampeni za ACT-Wazalendo!!

Au hao sio katika walipa kodi wa Tanzania, ambao kimsingi ndio wanawalipa Mishahara!!
[emoji23][emoji23] mi siko huko Mkuu, warekebishe Kiswahili tu maana wananiudhi sana watu wazima kuandika lugha ya kitoto wakiwa wanajua ni utoto
 
Wale mlioanza kupiga ramli kwamba Magu yuko taabani anaumwa sio kweli, jamaa ni buheri wa afya yuko Chato anampokea Rais Museven wa Uganda ametutembelea kwa ziara ya kikazi (mradi wa bomba la mafuta)
 
[emoji23][emoji23] mi siko huko Mkuu, warekebishe Kiswahili tu maana wananiudhi sana watu wazima kuandika lugha ya kitoto wakiwa wanajua ni utoto

Itakua wamewekwa kwa kadi ya kijani bila kuzingatia taaluma na kiwango cha elimu!

Wasamehe tuu ila wasirudie tena huo utopolo.
 
Back
Top Bottom