TBC1 waonyesha live AFCON siku ya fainali

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Shirika la utangazaji la Tanzania Tbc1 majanga. Wameacha kuonyesha mashindano ya afcon tangu mwanzoni lakini leo siku ya fainali waamua kurusha game live. Najiuliza kwani walishindwaje kurusha live haya mapambano toka mwanzoni!! Na wamewezaje kurusha siku ya mwisho ya fainali???
 
samahani mkuu hivi tbc ni nini vile manake kwenye kamusi yangu haimo kabisa
 
Shirika la utangazaji la Tanzania Tbc1 majanga. Wameacha kuonyesha mashindano ya afcon tangu mwanzoni lakini leo siku ya fainali waamua kurusha game live. Najiuliza kwani walishindwaje kurusha live haya mapambano toka mwanzoni!! Na wamewezaje kurusha siku ya mwisho ya fainali???
Kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho walikuwa wanaoneaha tbc2 kwenye fainali waliamua kusshirikiana kitokana na umhimu wa game.
 
TBC ni mojawapo ya aibu za nchi, nyingine ni polisi, uhamiaji, airport, tra, mahakama, ccm....list ni ndefu mno
 
Si hivyo,kuna masharti waliwekewa ya kutoonesha. Game zinanunuliwa ila ya mwisho walifanya fair kidogo waliruhusiwa. Azam Tv ndo walifanya kununua game. Wangeonyesha tangu mwanzo wasingeweza kulipa faini. Musikulupuke tu bila kufuatilia jambo kwa umakini. UARABUNI mtanyongwa. Napenda kuwasilisha kwenu.
 
Back
Top Bottom