Shirika la utangazaji la Tanzania Tbc1 majanga. Wameacha kuonyesha mashindano ya afcon tangu mwanzoni lakini leo siku ya fainali waamua kurusha game live. Najiuliza kwani walishindwaje kurusha live haya mapambano toka mwanzoni!! Na wamewezaje kurusha siku ya mwisho ya fainali???
Kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho walikuwa wanaoneaha tbc2 kwenye fainali waliamua kusshirikiana kitokana na umhimu wa game.Shirika la utangazaji la Tanzania Tbc1 majanga. Wameacha kuonyesha mashindano ya afcon tangu mwanzoni lakini leo siku ya fainali waamua kurusha game live. Najiuliza kwani walishindwaje kurusha live haya mapambano toka mwanzoni!! Na wamewezaje kurusha siku ya mwisho ya fainali???
Tanzania Broadcasting Coperation (Tbc), shirika la utangazaji tanzania.
yan we bado unafikiria tbc?
TBC ni mojawapo ya aibu za nchi, nyingine ni polisi, uhamiaji, airport, tra, mahakama, ccm....list ni ndefu mno
Hata UKAWA wakipata ridhaa, tbc ndio itaitwa tbchadema au tbcuf, ni kawaida tu.
Kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho walikuwa wanaoneaha tbc2 kwenye fainali waliamua kusshirikiana kitokana na umhimu wa game.
Nakanusha.