Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Mabadiliko hayaogopi! Najaribu kuwapigia na kuwashauri waonyesha za "Romania"! Simu hazipokelewi!:doh:
Watachelewesha mabadiliko, lakini hawawezi kamwe kuyazuia! Mama wa kwanza mwenyewe anashangaa kila anapopita anaoneshwa alama za vidole za "V," sasa kuna kazi tena hapo?
****** ya nguruwe huwa ni matamu sana.Wanawapa somo waTZ
Leo imeonyesha TBC huko congo hakuna mizengwe!, Generali Ulimwengu alionyesha yaliyojiri kule Zenji kwenye channel ten, wakamwita sio raia. waache wacongo na congo yao, sisi tunataka changes, miaka nenda rudi upuuzi ni uleule kama nchi ya kifalme. sasa wameanza kuwaanda watoto wao kwa nguvu zoote!!.
Titakuja toana roho mchana mchana hapa jamaniii!!
hata wakiweka filamu ya ESCAPE FROM SOBIBOR...moto ni ule ule... Halafu nimesikia pande za Iringa huko daladala zote zilizowekewa bendera ya sisiemu zimepewa "ofa" ya kutokamatwa na Traffic mpaka uchaguzi uishe!! sijui imekaaje hii...atakaepata taarifa zaidi embu atumwagie hapa!!
Wanajamvi leo TBC wamekuwa wakionyesha sana documentary ya wakimbizi wa Congo waliopo hapa kwenye kambi zetu za hapa nchini. Nimeona documentary saa sita mchana na saa tisa alasiri. Je ni zile mbinu za 1995 za Mkapa kuwatisha watanzainia waogope kuchagua upinzani??:confused2:
TBC1 wanahaha kuokoa shingo ya boss wao
Unfortunately tuna chini ya silimia kumi ya watu wenye kuona TV kutokana na umaskini uliokithiri
Moshi hali ni mbaya zaidi, wamachinga sasa wanatandaza vitu vyao kila mahali bila kuguswa na halmashauri, Parking sasa kila mtu anajipakia gari lake anavyotaka. Uchafu watu wanajitupia tu bila kukamatwa. Ni vurugu tu.