UKISHANGAA TU VYA MUSA, UKIONA VYA FIRAUNI (PHARAOH) JE?
TAZAMA FULL NOTE JUNSI UCHUMI ULIVYOUWAWA NA HUYU JK...BILA HATA AIBU!!
KIONGOZI BEN WILLIAM MKAPA Vs J KIKWETE...(MZEE WA KUDONDOKA)
MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009 - CHEKI MFUMUKO...WA BEI!
Unga 460 Vs 1000 = 217%
Mchele 600 Vs 1200 = 200%
Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%
Mkate 250 Vs 700 = 280%
Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg = 277%
Mafuta ya taa 450/lt Vs 1050 = 233%
Mafuta ya uto 178/lt Vs 720/lt = 404%
Nazi 100 Vs 550 = 550%
Mchicha/tembele 50 Vs 150 = 300%
Kipindi cha mwaka 2005-2010 mfumuko wa bei ya vyakula ni ya kutisha nchini TZ kufikia na kuzidi 200%.Jamani hayo ndiyo maisha bora?au kipimo ni magorofa machache ya watu wachache yanayochomoza kila kukicha dar, arusha na mwanza peke yake? WANAUCHUMI TUSAIDIENI KWA TAFSIRI YA UCHUMI KUKUA
AWAKATI WA MKAPA Vs KIKWETE!!
Unga 460 Vs 1000 = 217%
Mchele 600 Vs 1200 = 200%
Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%
Mkate 250 Vs 700 = 280%
Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg = 277%
Mafuta ya taa 450/lt Vs 1050 = 233%
Mafuta ya uto 178/lt Vs 720/lt = 404%
Nazi 100 Vs 550 = 550%
Mchicha/tembele 50 Vs 150 = 300%
unalipwa 100,000/-kwa mwezi kwa jedwali la hapo juu kila siku lazima
ununue unga robo 400, mchele nusu 300, uto kibaba 125, mafta taa
kipimo 300, sabuni nusu kipande 50, sukari robo 400, maharagwe robo
250, mkaa nusu kisado 300, nauli go & return 500, maji ya kunywa 500,
hapo ni bachalor kwa siku ni 3,125 mara 30 = 93,750 kwa mwezi. Okay
kodi kwa mwezi 20,000/- umeme 6000 kwa mwezi =total kwa mwezi ni
120,000/- je hiyo 20,000/- ziada katoa wapi????? ndo hizo mwisho wa
siku zina wapeleka jela au kuwanaachishwa kazi. Je maisha bora hapo
atoe wapi? Na je angekuwa na mtoto wa shule au watoto wawili? hapo
hajaumwa, hajatembelewa na mgeni akamnunulia soda, hajanunua nguo
nyingine!!!! Huyu mnaempigia kura hayajui hayo na hatambui kama una
familia kijijini pia. wao wanatibiwa na serikali, mafuta ya magari
kwao ni sawa na kumuuliza bibi akupigie story ya sungura. wenzie
wakitaka ongezo la mshahara wanajadiliwa in 2Hrs jibu tayari ila
waalimu na wenzao.........! 3 years.
ili mtanzania huyu asiibe/asikope/asidhulumu/asiombe rushwa inabidi mshara wake wa sasa hivi uwe na ongezeko la asilimia 297 toka kipindi cha mkapa hadi kikwete.
kw hiyo aliyekuwa akilipwa laki 1,angepasaw kulipwa laki 3 hivi.sasa kwa aina hiyo ya hyper inflation,ni wananchi machizi tu ndio wanaweza kumrudhisha kiongozi wa aina hii madarakani.
I am watching october 31st to see how far have we gone down the insane line.
imagine obama turns out just 100% inflation rates 2012..,even BUSH was better than this junk we have.[/QUOTE
Mimi huwa najiuliza sana maswali: Ni nani huwa anaipigia kura CCM hadi ishinde kwa kishindo wakati karibia kila mtu ninayezungumza naye anaiponda CCM then at the end kwenye uchaguzi eti CCM inashinda? Au sisi tunaojifanya tunajua ubaya na uzuri wa CCM (inawezekana ni kweli tunajua) huwa hatupigi kura? Au tunadanganyana tu tunapokuwa tunaongea then mtu kimya kimya anapmigia kura kiongozi wa CCM hata kama hawezi kuongoza kwa sababu unakuta mpiga kura huyo ana link na wazee (vigogo wa CCM)? Au watu ambao kwao vyombo vya habari pekee ni simu za mkononi (ambao hata redio kwao ni msamiati, TV na magazeti nd'o usiseme) nd'o wapiga kura wengi nini? Kwa maana naona hao nd'o wanaozikimbilia hizo kofia na T-shirts za njano/kijani.
Kuna kata moja Wilaya ya Liwale inaitwa Mirui nilikuwepo huko wiki mbili zilizopita katika kuongea ongea mambo ya uchaguzi nikajikuta naongea na mpiga kura mmoja akasema: ''Mgombea ubunge wa huku ametuahidi atatuletea mnara wa simu''. Duh! Yaani pesa ambazo wanazipata kwa shida wazimalizie kwenye kununua voucher za simu ili wafanyeje? Wawapigie simu wamiliki wa ndege waje wawabebee mazao yao? (kwa maana miundo mbinu haifai). Hata huo mnara yeye nd'o anamiliki kampuni ya simu - wamiliki wa kampuni ya simu watapeleka mnara wa simu kwa sababu mbunge amesema?! Hii nchi jamani?! Unaweza kukuta amesikia wana mpango wa kupeleka mnara wa simu halafu yeye kawadanganya wananchi kuwa atawapelekea mnara wa simu! Mmmmh! Bora
mtu akunyime pesa/ mali kuliko kukunyima elimu.
Naomba nikukosoe kidogo bwana Mziba, aina ya uchumi wa nchin yetu ni free, inamaanisha kwamba serikali haihusiki na upangaji wa bei za bidhaa.sababu ya huu mfumuko wa ajabu wa bei ni nyingi ila nita point moja tu ambayo mama ya sababu zote, POOR MANEGEMENT.
Haya matatizo yote yanasababishwa na wafanyabiashara wetu, wamejaa uroho mpaka basi, wao ndo wanajipangia bei tu bila ya sababu zozote, halafu serikali inakaa tu imefumba macho, kwa mfano angalia bei ya nazi, kutoka 100 hadi 500 sasa muulize muzaji kwa nini? atakwambia eti usafirishaji, haya muulize dereva mafuta shilingi ngapi?, haya pio muulize BP kwanini unauza mafuta bei ghali hivi? atasema soko la kimataifa bei imepanda. nenda soko la kimataifa ukaangalie,mafuta mwaka huu bei zimekua very stable.
tatizo ni kwamba wafanyabiashara wanajua kwamba watanzania wengi ni mambumbumbu, na badala ya serikali kuwalinda, yenyewe inawachekea tu wafanyabiashara, matokeo yake ona wafanyabiashara wanavyo kuwa matajiri na jinsi wafanyakazi wanavyozidi kuwa masikini.
Ni nani aliyeandaa hicho kipindi?TBC wamejuta kurusha kipindi kama hichi.
Kuna tetesi mwandaaji wa kipindi amelimwa barua ya kujieleza kwanini asifukuzwa kazi.
Ni nani aliyeandaa hicho kipindi?