mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Uhuru fm!!!?,i have no comment.watangaze wakati wanaona wanafirigiswa chini. Uhuru fm wao wanadai ccm inaongoza kata 13 matokeo wamepata wapi?
Habari mchanganyiko zipi mkuu! yaani hata uhuru fm unaona ni chanzo cha habari?Mie sasa nasubiri matokeo rasmi maana kila ukiangalia source mbalimbali unakutana ha habari mchanganyiko