D Davies_007 Member Joined Apr 22, 2010 Posts 59 Reaction score 0 Apr 3, 2011 #1 Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa? Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha Michezo Yote ya Timu zao za Taifa na Vilabu Vyao
Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa? Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha Michezo Yote ya Timu zao za Taifa na Vilabu Vyao
C Chechinia New Member Joined Feb 6, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Feb 18, 2012 #2 Ingekuwa mambo ya ccm wange onyesha ila siyo mpira