D Davies_007 Member Joined Apr 22, 2010 Posts 59 Reaction score 0 Apr 3, 2011 #1 Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa? Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha Michezo Yote ya Timu zao za Taifa na Vilabu Vyao
Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa? Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha Michezo Yote ya Timu zao za Taifa na Vilabu Vyao
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,503 Reaction score 6,415 Apr 3, 2011 #2 Sidhani kama ni ukumbi muafaka kwa sports!!!
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 4,998 Apr 3, 2011 #3 Pole mkuu ila ulipoingilia siyo penyewe!