Tbl na nbc walishaita usahili?

DENNING

Senior Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
174
Reaction score
109
Ngudu zanguni tuliomba kazi TBL na NBC, sijasikia toka kwao au ndo wameshaita na nimetoswa?.Nijuze please. 
 
DENNING hii ndyo bongo kaz kujuana yawezeka wenzako wameshaanza na kaz wewe umezubaa tu unawait kuitwa ...bongo so kupata job bt uckate tamaa 2po pa 1
 
NBC ni washenzi tena wa kutupa wamewapa taarifa watu kuwa wamefaulu interview na wataitwa cku yoyote kwenda kuripoti toka mwezi wa tisa mpaka leo hakuna kinachoendelea na wakipiga cm wanaambiwa nyie subirini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…