WAkufanya haya hawapo waanagaliaa mapato tu , kuhusu afya kila mwananchi atajitegemeaKwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya kupambanambana na dawa za kurevya Asanteni
WAkufanya haya hawapo waanagaliaa mapato tu , kuhusu afya kila mwananchi atajitegemea
Na sio vileo tu, vipodozi na bidhaa nyingiKwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya kupambanambana na dawa za kurevya Asanteni
Natamani hii post iwe pinnedKwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya kupambanambana na dawa za kurevya Asanteni
Ili bomu la vipodozi ni la hatariNa sio vileo tu, vipodozi na bidhaa nyingi
Tanzania tuna mamlaka za kukusanya mapato tu, ila si wezeshi au wanaojali afya za watanzania
Mkishaona hali ni ngumuKwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya kupambanambana na dawa za kurevya Asanteni
Hapana Mkuu wako vizuri sana .kifupi tuseme TBS majukumu yamewalemea yan ni mengi watumishi wao niwachache sana na mambo ni mengi ndio maana wanafunzi wa kujitolea TBS hawakauki.kwahyo sikwamba hawafanyi kazi ila Kuna maeneo yakufanyia kazi hasa upelelezi yan TBS isiishie tu ofisini waingie na mtaani,wawepo watu special Kwa kufanya doria maeneo mbalimbali hasa baa na viwandani pia mitaani sababu Kuna viwanda bubu vingiHao viwango kwao ni ujazo na uzito hawashughuliki na contents
Hapana Mkuu wako vizuri sana .kifupi tuseme TBS majukumu yamewalemea yan ni mengi watumishi wao niwachache sana na mambo ni mengi ndio maana wanafunzi wa kujitolea TBS hawakauki.kwahyo sikwamba hawafanyi kazi ila Kuna maeneo yakufanyia kazi hasa upelelezi yan TBS isiishie tu ofisini waingie na mtaani,wawepo watu special Kwa kufanya doria maeneo mbalimbali hasa baa na viwandani pia mitaani sababu Kuna viwanda bubu vin
FactMajukumu ya udhibiti wa bidhaa za chakula yarudishwe TMDA kama ilivyokua kabla ya 2019. Udhibiti unahitaji balance kati ya kuchechemusha biashara na kulinda afya ya jamii na watumiaji wa bidhaa. Ukiegemea upande mmoja, lazima mambo yaharibike. Hapo swali la kwanza ni je, SOKO LETU LA VYAKULA NI CHAFU/SAFI KIASI GANI?
Hapo tufanye targeted survey ya hali ya soko letu tukilenga bidhaa za pombe. Tunaweza kufanya nationawide sampling kimya kimya tukicover kila mkoa, kila wilaya tukafanya analysis ya hizo pombe ili tujue ubora wake halafu picha tutakayoipata ndio tustrategize from there.
Nadhani TBS wamekaa upande wa kibiashara zaidi kuliko upande wa kutulinda sisi watumiaji wa mitulinga hiyo.
Ndiyo maana mamlaka za nchini Rwanda, zimepiga ban mipombe mikali toka Tz, sasa wanabakia kuilaumu Rwanda!Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya kupambanambana na dawa za kurevya Asanteni
Mkuu, kama wanaona watumishi ni wachache si waajiri wapate nguvu ili kuendana na kasi ya uzalishaji wa bidhaa kila kona.Hapana Mkuu wako vizuri sana .kifupi tuseme TBS majukumu yamewalemea yan ni mengi watumishi wao niwachache sana na mambo ni mengi ndio maana wanafunzi wa kujitolea TBS hawakauki.kwahyo sikwamba hawafanyi kazi ila Kuna maeneo yakufanyia kazi hasa upelelezi yan TBS isiishie tu ofisini waingie na mtaani,wawepo watu special Kwa kufanya doria maeneo mbalimbali hasa baa na viwandani pia mitaani sababu Kuna viwanda bubu vingi
Naimani mkurugenzi mkuu wa TBS ASHURA KATUNZI Yuko hapa jf anakusikia atalifanyia kazi hiliMkuu, kama wanaona watumishi ni wachache si waajiri wapate nguvu ili kuendana na kasi ya uzalishaji wa bidhaa kila kona.
Sahivi dunia imezingatia pesa kwanza afya za watu kwao si kitu.Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya kupambanambana na dawa za kurevya Asanteni
Ooohh hana noma yule bidada mate.Naimani mkurugenzi mkuu wa TBS ASHURA KATUNZI Yuko hapa jf anakusikia atalifanyia kazi hili
FACT And Well Said ....Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya
1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya kupambanambana na dawa za kurevya Asanteni