Tbs ifumuliwe upya / ivunjwe kunusuru afya za watanzania

Leo naona hii habari.
 

Attachments

  • IMG_5768.jpeg
    625 KB · Views: 10
Leo naona hii habari.
Wasiishie kuteketeza tu wapige faini ya maana na ikiwezekana kifungo cha jera Kwa wahusika na kufunga kabisa kiwanda iwe onyo Kwa wengine, naimani wakifanya hivi mara kadhaa watu wataogopa
 
Hili mi nimekua na wasiwasi nalo muda sana kabla hata ya ishu ya Rwanda.

Bongo watu wameweka sana maslai mbele. Bidhaa ambazo hazina ubora hata mitaani tunaona baahdi ya wafanyakazi wa mamlaka wanaacha ziingie sokoni kwa kuhongwa pesa kidogo tu. Ni upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…