TBS interviews

TBS interviews

spectator boy

New Member
Joined
Apr 22, 2021
Posts
3
Reaction score
4
Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za
1. Food inspection officer
2. Quality assurance officer
3. Research officer
 
Kuna jamaa angu ana deal na haya mambo yupo airport hapo ... Ntajaribu kumgusiaaa
 
Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za
1. Food inspection officer
2. Quality assurance officer
3. Research officer
Tafuta hints zinahusu ukaguzi wa bidhaa ya nyamaa ... Hapa wekeza muda wako

Upitie HACCP hiyo kidogo steps, principal

Upitie mambo ya hygiene

Tafuta miongozo ya tbs ya inspection na handling za bidhaa hasa za nyama, maziwa . Hakikisha unapata huo muongozo pdf

Hii ni kwa Food inspection officer
 
Back
Top Bottom