Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania
Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo
TBS walichukua hatua ya kumtembelea wakala wa usindikaji wa juisi hiyo aliyepo nchini na kukagua nyaraka na juisi zilizoko kwenye ghala