Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kabisaaa hao wanaofanya sample???!!! Badala ya kuucheku mzigo woteTBS hawa hawa ama wengine?
TBS sio wa kuwaamini.
Kituko cha awamu ya 6Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania
Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo
TBS walichukua hatua ya kumtembelea wakala wa usindikaji wa juisi hiyo aliyepo nchini na kukagua nyaraka na juisi zilizoko kwenye ghala
View attachment 1976994View attachment 1976995
Zimejaa madukani nchini Tanzania. TBS hawaaminikiShirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania
Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo
TBS walichukua hatua ya kumtembelea wakala wa usindikaji wa juisi hiyo aliyepo nchini na kukagua nyaraka na juisi zilizoko kwenye ghala
View attachment 1976994View attachment 1976995
wabongo deili wanakula sumu, hili la seresi ndiyo wanajifanya kutunisha mishipaPatulin isnt that dangerous..
Mkiambiwa yaliyopo kwenye vyakula vyote mbona hamtakula...
Unajua kusoma kweli wewe? Ni batch ya tarehe 14 hadi 30 Juni ndiyo ilikuwa na hilo tatizo. Batch hiyo haikuingizwa nchini.