johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msemaji wa Shirika la Viwango TBS kanda ya kusini amesema taasisi yake inaandaa viwango vya pombe za kienyeji Mbege na Ulanzi ili zitengenezwe na kusindikwa katika ubora unaostahili.
Msemaji huyo amesema viwangi hivyo vitasaidia Mbege na Ulanzi ziweze kushindanishwa na Chibuku na hivyo kusaidia uchumi katika ongezeko la viwanda na ajira.
Chanzo: ITV habari za saa
My take; Hii Ilani ni kama inawapendelea Kilimanjaro ilianza treni na sasa Mbege!
Maendeleo hayana vyama.