johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Gongo nayo ifikiriwe!Gongo imesahaulika au hili liko kwenye katiba?!
Chibuku imeishia wapi huku mtaani kwangu haipo?
Haya sasa ndio maendeleo!, na amini usiamini, wakifanya good packing, bottling, na preservation, amini usiamini, Tanzania tuta export sana mbege, kwasababu wanywa mbege ndilo kabila linaloongoza kwa kuishi mamtoni!, usikute hata zile safari za kwenda kuhiji Mgombani Kipindi cha Krisimasi, kinachofatwa kule ni mbege tuu ya Moshi.Msemaji wa Shirika la Viwango TBS kanda ya kusini amesema taasisi yake inaandaa viwango vya pombe za kienyeji Mbege na Ulanzi ili zitengenezwe na kusindikwa katika ubora unaostahili.
Msemaji huyo amesema viwangi hivyo vitasaidia Mbege na Ulanzi ziweze kushindanishwa na Chibuku na hivyo kusaidia uchumi katika ongezeko la viwanda na ajira.
Chanzo: ITV habari za saa
My take; Hii Ilani ni kama inawapendelea Kilimanjaro ilianza treni na sasa Mbege!
Maendeleo hayana vyama.
Natumaini kiwanda changu cha kutengeneza gongo laini kitapata kibali cha hiyo mamlaka.Msemaji wa Shirika la Viwango TBS kanda ya kusini amesema taasisi yake inaandaa viwango vya pombe za kienyeji Mbege na Ulanzi ili zitengenezwe na kusindikwa katika ubora unaostahili.
Msemaji huyo amesema viwangi hivyo vitasaidia Mbege na Ulanzi ziweze kushindanishwa na Chibuku na hivyo kusaidia uchumi katika ongezeko la viwanda na ajira.
Chanzo: ITV habari za saa
My take; Hii Ilani ni kama inawapendelea Kilimanjaro ilianza treni na sasa Mbege!
Maendeleo hayana vyama.
Haya sasa ndio maendeleo!, na amini usiamini, wakifanya good packing, bottling, na preservation, amini usiamini, Tanzania tuta export sana mbege, kwasababu wanywa mbege ndilo kabila linaloongoza kwa kuishi mamtoni!, usikute hata zile safari za kwenda kuhiji Mgombani Kipindi cha Krisimasi, kinachofatwa kule ni mbege tuu ya Moshi.
Ukiona vi ford vya Moshi-Arusha jinsi vinapeleka mbege Arusha mtaelewa. Hata bar za mbege hapa Dar zinafunga sana, ila eneo pia pawepo na ile kitu!.
P
Mkangafu na Mdindifu ndio vitapewa kipaumbele........ule mtogwa ni work in progress!Sasa 'mkangafu' utakuwa haupo!au upo!? Naunga mkono hoja....Na ziwe na Bei elekezi Kama ilivyo chibuku....
Kitimoto?Haya sasa ndio maendeleo!, na amini usiamini, wakifanya good packing, bottling, na preservation, amini usiamini, Tanzania tuta export sana mbege, kwasababu wanywa mbege ndilo kabila linaloongoza kwa kuishi mamtoni!, usikute hata zile safari za kwenda kuhiji Mgombani Kipindi cha Krisimasi, kinachofatwa kule ni mbege tuu ya Moshi.
Ukiona vi ford vya Moshi-Arusha jinsi vinapeleka mbege Arusha mtaelewa. Hata bar za mbege hapa Dar zinafunga sana, ila eneo pia pawepo na ile kitu!.
P
Moto!Hapo mwisho umekosea au?”ile kitu!”
Au ile kiti??🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna vitu usitaje ukawachefua watu!.Kitimoto?
Msemaji wa Shirika la Viwango TBS kanda ya kusini amesema taasisi yake inaandaa viwango vya pombe za kienyeji Mbege na Ulanzi ili zitengenezwe na kusindikwa katika ubora unaostahili.
Msemaji huyo amesema viwangi hivyo vitasaidia Mbege na Ulanzi ziweze kushindanishwa na Chibuku na hivyo kusaidia uchumi katika ongezeko la viwanda na ajira.
Chanzo: ITV habari za saa
My take; Hii Ilani ni kama inawapendelea Kilimanjaro ilianza treni na sasa Mbege!
Maendeleo hayana vyama.
Gongo imesahaulika au hili liko kwenye katiba?!
Chibuku imeishia wapi huku mtaani kwangu haipo?
Haya sasa ndio maendeleo!, na amini usiamini, wakifanya good packing, bottling, na preservation, amini usiamini, Tanzania tuta export sana mbege, kwasababu wanywa mbege ndilo kabila linaloongoza kwa kuishi mamtoni!, usikute hata zile safari za kwenda kuhiji Mgombani Kipindi cha Krisimasi, kinachofatwa kule ni mbege tuu ya Moshi.
Ukiona vi ford vya Moshi-Arusha jinsi vinapeleka mbege Arusha mtaelewa. Hata bar za mbege hapa Dar zinafunga sana, ila eneo pia pawepo na ile kitu!.
P
Mbege itabaki kuwa juu kileleni[emoji2][emoji2]Sasa 'mkangafu' utakuwa haupo!au upo!? Naunga mkono hoja....Na ziwe na Bei elekezi Kama ilivyo chibuku....