Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Kwasababu za kibiashara ningeweza kutaja majina ya makampun ya mafuta hayo na ukitaka KUJUA kwamba nitatizo KUBWA Ila WATANZANIA huaga niwatu wa kumezea vitu hawatoi MAONI Wala kupambania Jambo nikwamba nilisafiri kwenda isiman mkoan IRINGA kijijin makadupa nikamkuta Dada anachoma chips pia mafuta tanatoa pov Kama hvyo najua nawengine wengi wanaona hyo har lakin wataenda kusema wapi man.Siyo kila mafuta ni kwaajili ya kupikia kiongozi. Inaonekana hayo ya kwenye picha ni malighafi ya kutengenezea sabuni mkuu!
Nimafuta namakampun makubwa tu Ila siwezi kuyatajaAU ULISAHAU UKANUNUA TARMOL SABUNI YA MAJI ILE. Maana madumu yanafanana sasa ulipoona bei elfu 8 ukakimbilia. ACHA UBAHILI.
Nimafuta mkuu ya dum la Lita 20...hata ya ndooya Lita kumi piaSiyo kila mafuta ni kwaajili ya kupikia kiongozi. Inaonekana hayo ya kwenye picha ni malighafi ya kutengenezea sabuni mkuu!
I wish kungekua na system ambayo ukitoa TAARIFA ya tatizo fulan wahusika haraka wanapata TAARIFA ..Kuna tatizo la processing kwenye hayo mafuta, kule singida na dodoma vijana kibao wana vidumu vya mafuta wanauza kwenye magari yanayopita......sasa sidhani kamaTBS wameweka standards za namna ya kuyazalisha hayo mafuta kwa wazalishaji wakubwa na wale wadogo au kila mtu anapuyanga tu.......TBS tokeni huko mlipojificha mkaangalie ubora wa mafuta haya au mnasubiri hadi watu wapate madhara.
Kwenye website yao kuna tall free no.I wish kungekua na system ambayo ukitoa TAARIFA ya tatizo fulan wahusika haraka wanapata TAARIFA ..
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hayo ni mafuta ya alizeti. Yana kawaida ya kutoa mapovu yakipata moto, na baada ya kuchemka hilo povu hupotea.Kwasababu za kibiashara ningeweza kutaja majina ya makampun ya mafuta hayo ...naukitaka KUJUA kwamba nitatizo KUBWA Ila WATANZANIA huaga niwatu wa kumezea vitu hawatoi MAONI Wala kupambania Jambo..nikwamba nilisafir kwenda isiman mkoan IRINGA kijijin makadupa nikamkuta Dada anachoma chips pia mafuta tanatoa pov Kama hvyo najua nawengine wengi wanaona hyo har lakin wataenda kusema wapi man...
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nipo dar mkuu sio ya alizetini mafuta haya ya madum na ndoo MENGINE KUTOKA nje ya nchiHayo ni mafuta ya alizeti. Yana kawaida ya kutoa mapovu yakipata moto, na baada ya kuchemka hilo povu hupotea.
Sijajua tatizo hutokea wakati wa ukamuaji wake, au wakamuaji huchanganya na maji kidogo, au la!