Walinikosea kuwa wanafki mtandaoni ni mashujaa ila mtaani ni makondoo
Usiombee wenzako kifo maana na wewe utakufa au utafiwa na wapendwa wakoWalinikosea kuwa wanafki mtandaoni ni mashujaa ila mtaani ni makondoo
Wasipoombewa kifo hawafi?Usiombee wenzako kifo maana na wewe utakufa au utafiwa na wapendwa wako
Kifo ni wajibu wa kila kiumbe.
Si vyema kumwombea Mtanzania mwenzako kifo, kwakuwa mmetofautiana mtazamo
Mkeo atakuchangia.Nimeshangaa hata mimi ..ndani nna akiba yangu hapa nataka niipige baadae..hii taarifa imenishtua
Itakua walimla kibogaWafuasi wa chadema walikukosea Nini?
Watumiaji wa simu janja ni wachache halafu wanaokumbuka kuscan ni kiduchu tu, kama unavyoona kutumia zana tukishalewaTatizo watumiaji nao ku scan hawataki kabisa
Kila unapogusa ni ShaghalabaghalaNchi iko shagarabhagala hii
Weka link au maelezo yake kwa manufaa ya wengiKupanga ni kuchagu tbs tra washatoa mwongozo jinsi ya kuscan kutambua kama fake au org kazi ni kwako na uvivu
kama unaujua weka maelezo, kwa wengine inaweza kuwa easy kuufuataHuu utaratibu ni ngumu kuufuata
Pombe original na ukiscan inakubali ni Valeur Brand.Sitaki takataka nyingine tena.Tufanyeje mkuu?
Amuachie nani?Acha pombe
Unascan ile qr ya TRA pale juu kwenye kizibo au vp?Hivi kuscan kweli ndo dawa halisi ya kujua halali ni ipi niuliza tu