Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
TBS hawa wa Ubungo mataa? usidhani wana jengo kubwa pale kuna kazi ya maana wanafanya mle ni kucheza na rushwa tuIkulu ya Marekani imekiri kuwa mirija ya kunywea kinywaji ni hatari kuliko hata chupa za plastiki.
Ikumbukwe chupa hizo ni hatari zaidi kwa afya na zinasababisha kansa.
chupa za Maji na vinywaji za Dar es
Mazingira ambayo baadae yanaathiri afya 😎Mbona mnapenda kukuza sana mambo? Hapo umeambiwa athari ni mazingira na si afya
Athari za kimazingira zinapelekea kuathiri afya kiujumulaMbona mnapenda kukuza sana mambo? Hapo umeambiwa athari ni mazingira na si afya
Mbona mnapenda kukuza sana mambo? Hapo umeambiwa athari ni mazingira na si afya
Mbona mnapenda kukuza sana mambo? Hapo umeambiwa athari ni mazingira na si afya