TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea)

TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina GENTAMYCINE ili tusiendelee kunya SODA KUTU za Pepsi na Coca ambazo ni Hatari kwa Afya zetu?

TBS hivi Kulisimamia hili kama Mamlaka ya Udhibiti na Ubora wa bidhaa ni mpaka Rais Samia awakumbusheni? Ni kwanini mliopewa Dhamana (hasa za Usimamizi) wa bidhaa au masuala hamjitumi, mnapuuza na mnakuwa kama Majuha (Fools) fulani?

Hovyo!
 
Pumbavu wakitaka kujua wanaweza. Wanawezaje Kufungua Mafuta Feki ya Kupikia au Pedi ( Taulo / Sodo ) na kujua si Salama kwa Watumiaji halafu washindwe kujua Chupa za Coke na Pepsi zenye Kutu?

Usinikere zaidi sawa?
Mkuu uwe unakunywa zile takeaway na vipotabo[emoji23]
 
Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni ( sehemu ya Kunywea )...
Katika maeneo ya kuanza kuchunguza ufisadi ni pamoja na mazingira yakutowajibika kama hili,yafaa tujue anayekula10%,🤔
 
Ni kubadilisha rera tu kila penye kiwanda pawepo mwakilishi/ofisi ndogo za hizo mamlaka. Bidhaa fulani zenye viwango duni zikisambaa mtaani tunajua ofisi ndogo fulani imezembea na hivyo tutajua pa kuanzia
 
Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni ( sehemu ya Kunywea )

TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge ( Masikini ) akina GENTAMYCINE ili tusiendelee kunya SODA KUTU za Pepsi na Coca ambazo ni Hatari kwa Afya zetu?

TBS hivi Kulisimamia hili kama Mamlaka ya Udhibiti na Ubora wa bidhaa ni mpaka Rais Samia awakumbusheni? Ni kwanini mliopewa Dhamana ( hasa za Usimamizi ) wa bidhaa au masuala hamjitumi, mnapuuza na mnakuwa kama Majuha ( Fools ) fulani?

Hovyooooooo........!!!!!!
Ushaidi!!?
 
Ungechambua madhara ya kunywa kutu na kutu ni nini. Unayajua umuhimu wa madini chuma mwilini
 
Ungechambua madhara ya kunywa kutu na kutu ni nini. Unayajua umuhimu wa madini chuma mwilini
Moja ya madhara yake ni Wewe kuwa Popoma hivi kama ulivyo Mkuu sawa?
 
Back
Top Bottom