GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wapuuzi mno hawa TBS Mkuu. Hawafanyi kabisa Kazi yao na wapo wapo tu.
Pumbavu wakitaka kujua wanaweza. Wanawezaje Kufungua Mafuta Feki ya Kupikia au Pedi ( Taulo / Sodo ) na kujua si Salama kwa Watumiaji halafu washindwe kujua Chupa za Coke na Pepsi zenye Kutu?Sasa ili wajue kuna kutu huko si lazima wazifungue.....si wataziharibu??
Mkuu uwe unakunywa zile takeaway na vipotabo[emoji23]Pumbavu wakitaka kujua wanaweza. Wanawezaje Kufungua Mafuta Feki ya Kupikia au Pedi ( Taulo / Sodo ) na kujua si Salama kwa Watumiaji halafu washindwe kujua Chupa za Coke na Pepsi zenye Kutu?
Usinikere zaidi sawa?
Katika maeneo ya kuanza kuchunguza ufisadi ni pamoja na mazingira yakutowajibika kama hili,yafaa tujue anayekula10%,🤔Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni ( sehemu ya Kunywea )...
Ushaidi!!?Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni ( sehemu ya Kunywea )
TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge ( Masikini ) akina GENTAMYCINE ili tusiendelee kunya SODA KUTU za Pepsi na Coca ambazo ni Hatari kwa Afya zetu?
TBS hivi Kulisimamia hili kama Mamlaka ya Udhibiti na Ubora wa bidhaa ni mpaka Rais Samia awakumbusheni? Ni kwanini mliopewa Dhamana ( hasa za Usimamizi ) wa bidhaa au masuala hamjitumi, mnapuuza na mnakuwa kama Majuha ( Fools ) fulani?
Hovyooooooo........!!!!!!
Ili niwe Nakukaza vizuri au?Mkuu uwe unakunywa zile takeaway na vipotabo[emoji23]
Hopeless.Ushaidi!!?
Umenijibu Kikuda / Kinoko kweli kweli.kunywa ufe au achana nayo usonge mbele simple tu
HopefulHopeless.
Sasa mpaka ishu itatuliwe utakua unakunywa kutu tuIli niwe Nakukaza vizuri au?
tunajaribu jaribu kukomenti kwenye nyuzi zako mzee wa akili mingiUmenijibu Kikuda / Kinoko kweli kweli.
Pumbavu.Sasa mpaka ishu itatuliwe utakua unakunywa kutu tu
Moja ya madhara yake ni Wewe kuwa Popoma hivi kama ulivyo Mkuu sawa?Ungechambua madhara ya kunywa kutu na kutu ni nini. Unayajua umuhimu wa madini chuma mwilini