TBS na Usajili wa Hotel, maduka na Posho mills

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
TBS imetoa tangazo na muda kwa wenye biashara tajwa hapo juu kujiandikisha.

Jambo la kwanza ni kuwa muda waliotoa ni mfupi sana kwa mfano kwa posho mills ambazo zimesambaa mpaka vijijini sidhani kama muda huo utatosha.

La pili, ndani ya website yao hakuna application form kwa ajili ya kuomba usajili.

Tunaomba maelezo zaidi na ikiwezekana dhamira ya hatua hii,ni kutaka kuboresha kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…