TBS ni wahujumu uchumi

TBS ni wahujumu uchumi

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Shirika la viwango Tanzania lina jukumu kubwa la kusimamia viwango vya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje. Ajabu ni kwamba Soko la bidhaa mbalimbali kutoka nje limefurika bidha zisizokIdhi viwango, fake.

Bidhaa nyingi kutoka China, hasa vifaa vya ujenzi na vipuri vya magari na mitambo mbalimbali ni fake. Kama nchi inabidi tutumie fedha za kigeni mara kwa mara kuagiza bidhaa fake, zisizodumu.

Huko TBS ina wasomi kibao walioajiriwa na wanalipwa mishahara mikubwa na kusomeshwa ndani na nje ya nchi lakini hawana tija kwa taifa.

Hali hii isipodhibitiwa haraka, nchi itaendelea kuwa maskini kwa kuwa soko la bidhaa bandia na kutumia pesa kidogo tuliyonayo kutengeneza ajira kwa wachina. Pia hali kama hii inadhihirisha udhaifu serikali, ufisadi na ubinafsi wa viongozi walio madarakani.

Tunatokaje hapa?
 
Shirika la Viwango Tanzania lina jukumu kubwa la kusimamia viwango vya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje. Ajabu ni kwamba soko la bidhaa mbalimbali kutoka nje limefurika bidha zisizokIdhi viwango, fake.

Bidhaa nyingi kutoka China, hasa vifaa vya ujenzi na vipuri vya magari na mitambo mbalimbali ni fake. Kama nchi inabidi tutumie fedha za kigeni mara kwa mara kuagiza bidhaa fake, zisizodumu.

Huko TBS ina wasomi kibao walioajiriwa na wanalipwa mishahara mikubwa na kusomeshwa ndani na nje ya nchi lakini hawana tija kwa taifa.

Hali hii isipodhibitiwa haraka, nchi itaendelea kuwa maskini kwa kuwa soko la bidhaa bandia na kutumia pesa kidogo tuliyonayo kutengeneza ajira kwa wachina. Pia hali kama hii inadhihirisha udhaifu serikali, ufisadi na ubinafsi wa viongozi walio madarakani.

Tunatokaje hapa?
 
IMG_20231126_141939.jpg
 
Shirika la viwango Tanzania lina jukumu kubwa la kusimamia viwango vya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje. Ajabu ni kwamba Soko la bidhaa mbalimbali kutoka nje limefurika bidha zisizokIdhi viwango, fake.

Bidhaa nyingi kutoka China, hasa vifaa vya ujenzi na vipuri vya magari na mitambo mbalimbali ni fake. Kama nchi inabidi tutumie fedha za kigeni mara kwa mara kuagiza bidhaa fake, zisizodumu.

Huko TBS ina wasomi kibao walioajiriwa na wanalipwa mishahara mikubwa na kusomeshwa ndani na nje ya nchi lakini hawana tija kwa taifa.

Hali hii isipodhibitiwa haraka, nchi itaendelea kuwa maskini kwa kuwa soko la bidhaa bandia na kutumia pesa kidogo tuliyonayo kutengeneza ajira kwa wachina. Pia hali kama hii inadhihirisha udhaifu serikali, ufisadi na ubinafsi wa viongozi walio madarakani.

Tunatokaje hapa?
Usichokijua TBS ina wasomi waliosomea Nyanja zisizohusiana na taasisi yao.Mtu aliyesomea Food science ndiye mkaguzi wa mabati na matairi bandarini.Msomi mwenye utaalamu wa Kilimo unaenda kumpa kazi ya kukagua spare za Magari na mitumba.Kiujumla TBS hakuna kitu ni geresha tu
 
This is very true!
 
TBS utawalaumu tu, tatizo ni uchumi wetu na watanzania
 
Inasikitisha sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Back
Top Bottom