TBT: Dkt. Hussein Mwinyi na mkewe

Mke wa muheshimiwa ni mgalatia mwenzetu Nini? Naona hajajitandaa. Hii imekaaje kwa ndugu zetu upande wa pili?

adriz Mlolongo Bwana Utam STRUGGLE MAN Dalmine
Imeruhusisiwa Muislamu kumuoa mkiristo hata myahudi ila si ruhusu kwa Binti wa kiislamu kutolewa na mtu wa dini tofauti .

Ila salama kwa usalama zaidi ni vyema kuoa Muislamu mwenzio na hii mada ina upana wake mashekhe na wanazuoni wakubwa wameelezea zaidi kwa wigo mpana.
 
Duuu[emoji849]
 
Kwa hiyo. Waislam hawaruhusiwi kuoa hawa?
1. Wahindu
2. Bahai
3. Druze
4. Bahaì
5. Samaritan
6. Zoroastrian
7. Ahmadiyah
8. Yazid
9. Yarsanis
10. Shinto
11. Confusian
12. Budha
 
Huyo ni mgalatia, ni mtoto wa Meja Jenelari msaaf Lupoko(kama sijakoseajina)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…