TBT enzi za chuo kikuu

Hii umeleta ili uniumize, lakini mimi sijasema km nimeliwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe umesema uliwapelekea na walikuwa wanakupenda!! Wacuba tushaelewa
Hapana, nimeshare my experience. I will never hurt you, bcoz I love u[emoji7]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hamna sisi inaishia hapa hapa jf si eti Countrywide

Wale nawapata vizuri, ss hivi si wameachana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112][emoji112][emoji112]na ww na mwenzio nawasalim tu

Ila Kwan ukimpa mwenzio utam kuna shida gan

Nachomekea tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112][emoji112][emoji112]na ww na mwenzio nawasalim tu

Ila Kwan ukimpa mwenzio utam kuna shida gan

Nachomekea tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi na Countrywide ni maadui tulioamua kuwa marafiki hivyo hatuwezi lakini akijichanganya simuachi lazima nimuonyeshe masham sham ya pwani [emoji2222]
 
Lete ubuyu huo nikupe moja hiyo ya ki Beyonce utanue mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usnambiee, ashakuja WC wako, moe nalala now
 
Hawatuwezi, itakuwa ngumu sisi kutufukia chini
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kweli hawatuwezi[emoji3059], umenikumbusha hii classic song kutoka kwa gaidi la rap my brother King izz, mr Isack
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usnambiee, ashakuja WC wako, moe nalala now
Udugu mpe cute wife anachotaka, hakuna wa kukusumbua. Napenda kumuona akiwa happy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…