TBT: Kati ya P Funk, Mikka Mwamba, Master J na Bony Luv, Mtayarishaji gani alikuvutia kwenye kazi zake enzi hizo?

Yeah! Masta Jay alikuwa anapiga kila kitu. Hii ni pure talent
 
Mfano hakuna Mungu kama Wewe au album ya kwanza ya Rose, alikuwa anatengeneza taarab, muziki wa band
mziki wa dansi na gospels zote ni Marlon Linje, MJ Records, siyo Joachim mwenyewe
 
Mikka mwamba alikuwa anaujua muziki angalau sisi wazee tulivutiwa kusikiliza muziki wake
 

View: https://youtu.be/WGTudLmckJM?si=iUYW_OWXiCc11k_y
Hapo mika unamfanishaje na wengine,
 
Kila jambo nalofanya unaona Halifai baby gal, Baby nifanyeje,nifanye jambo gani uelewe nifanye jambo gani nikulizishe.....aisee Mika Mwamba alikuwa mwamba kwelikweli vinanda vilivyotumika ktk intro siyo mchezo
 
Huyu mzungu (Mika) aliwezaje kutengeneza ngoma ya asili Maria Salome, yani mule zinapigwa ngoma za asili kabisa au maisha yake kabla alizaliwa mzaramo?
 
Kuna watu hua hawatajwi lakini ndio walikua wakali wenyewe mfano Prof Ludigo
 
Kila mmoja alinivutia kwa ngoma fulani.
Pfunk ngoma kibao za akina jay mo, nature n.k
Bon luv ngoma ya mabinti famu damu na nyingi kibao
Master jay ngoma kibao za mike t na nyingine kibao.
Halafu mkuu ngoma ya raha tu aligonga marehemu complex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…