Yule clouds media walimfuata na akawapa terms zake nao walikubali acha apige pesa .Wadau,
Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba hawana kipindi chochote cha maana, ukishaangalia taarifa ya habari ndo basi tena
[HASHTAG]#Sasa[/HASHTAG] kaajiriwa na hao hao wenye vipindi vya ovyo
Wadau,

Ni sawa tu. Hata Lowasa aliwahi kuitwa fisadi, lakini leo ni shujaa.
Unaambiwa weka ushahidi umeanza kuleta maneno ya kwenye kanga!Ni kweli. Mange na Gwajima wamesema ni Bavicha gani wa kubisha ?