TBT: Kuna nyimbo kwa Makundi 3 (Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature), (Alikiba, Matonya & MB Dog) na (Joslin, Noorah & Mr. Blue) utasikiliza zipi?

TBT: Kuna nyimbo kwa Makundi 3 (Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature), (Alikiba, Matonya & MB Dog) na (Joslin, Noorah & Mr. Blue) utasikiliza zipi?

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu:
  1. Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature
  2. Alikiba, Matonya & MB Dog
  3. Joslin, Noorah & Mr. Blue
Ungechagua kundi lipi na kwa nini? Je, muziki wao umeacha alama gani kwako au kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Flava?

#TBT #BongoFlava
 
Ungeniwekea group la Hiphop laini Mo, FA & AY.
 
Back
Top Bottom