Pre GE2025TBT: Mgombea CCM akijinadi kwa point matata ili achaguliwe na wananchi Uchaguzi 2015. Je, tunatarajia haya hayatajitokeza kwenye chaguzi zijazo?
Baada ya kuangalia huku na huko nimegundua hii video ni kutoka Uchaguzi wa 2015, hizi ahadi ni kama zile za 'Ndio Mzee' kwenye wimbo wa Prof. Jay.ππ
Kwa kiwango cha uchawa kilichoongezeka na wagombea ambao hawana sifa wala ujuzi kusimamia nafasi hizo kupewa nafasi ya kugombea, tunatarajia mambo haya hayatatokea kwenye uchaguzi huu wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2025?
=====
Your browser is not able to display this video.
Mwana CCM asema inabidi wafanye mageuzi kwenye chama na serikali kwa ujumla ili kila mtu apokee mshahara kila jumamosi, vijana amabo hawana ajira nao wanatakiwa kupewa mshahara, wanawake nao wawe wanapewa mishahara na kujengewa na nyumba, wanafunzi hakuna kulipa ada ngazi zote. Watu hakuna kwenda hospitali, kutakuwa na magari ya kuwafata wananchi kila nyuma ili watibiwe, watakusanya waganga wote sehemu moja ili waweze kutoa huduma zao
π€£ππ mwamba anamwaga sera kana kwamba ni nchi tyr imeshaendelea vyakutosha masuala muhim kama maji barabara umeme shule sio shida zetu tena kwenye hii nchi