TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Hivi ni mimi tu sijawahi kuandika hadi peni ikaisha au kuna wengine, maana nikipata pen mpya siku tatu ishapotea..!
Fagio nikitengeneza leo siku mbili tu washaiba,Anyway mnawakumbuka Hawa manigga hapa chini??
 
Yule mwizi wa pen niko hapa compas langu lilijaa pen za kila aina.

Ili kupoteza ushahidi nazikwangua na wembe. [emoji23]
Niliibiwa kisalfeti changu kilichojaa daftar za shule.. ili home wasijue nilikua naingia kininja natoka kininja. Nilikaa kama wiki mbili siandiki ila naenda shule kuiba daftar tu! Nilimilisha zimefika daftar 20 mpya... daftar zikimwaga kutoka kusahushwa nami najichanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…