nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
ilikuwa 2003 mabingwa watetezi wa Africa walipotolewa na Simba SC iliyokuwa chini ya udhamini wa METL kwa usimamizi wa kijana mdogo aitwaye Mohamed Dewji akifuata nyanyo za Uncle wake azim dewji ambaye miaka 10 nyuma aliweza ifikisha simba FAINALI YA CAF
Zamalek ya mwaka huo ilikuwa moto na week kadhaa nyuma ilikuwa imetoka kuifunga real madrid 1-0 kwenye klabu bingwa ya dunia tena madrid ya kina Figo, Zidane, Beckham
Mo aliungana na na maelfu kuipokea Simba, akapanda kwenye Fuso, akavua shati akacheza na mashabiki wenzake.
LEO HII LINATOKEA JITU LINASEMA MBONA TAJIRI WANGU HAVUAGI SHATI KWANINI WEWE UVUE SHATI?
TUKIANZA KUONGEA NA MENGINE TUTAAMBIWA TUNDHALILISHA SIJUI MAMBO YA NGOZI.