TBT: Tashriff wafunguka mkasa mzima alivyotekwa Mzee Kibao. 'Tuliogopa walikuwa na silaha za moto'

TBT: Tashriff wafunguka mkasa mzima alivyotekwa Mzee Kibao. 'Tuliogopa walikuwa na silaha za moto'

Muwe mnaweka basi na maelezo yaliyokamilika kupitia hizo clips zenu, badala ya wote kulazimishwa kusikiliza.
 
Tuliisha sahau, na tuliahidiwa report kamili baada ya uchunguzi, lakini nchi yetu tunaifahamu.

Wao wanasema ya kale hayanuki.
 
Duh navaa viatu vya ndugu, mke na watoto wa huyu jamaa

Ila all Ina all they will pay it out!!
 
Bado tume aliyoiunda Rais inafanya kazi yake itakuja na maelezo mazuri tu.
 
Back
Top Bottom