TBT: Need For Speed 2, Tuipakue tukumbushane enzi na Tufurahi, inakubali windows 7, 8, 10, 11.

TBT: Need For Speed 2, Tuipakue tukumbushane enzi na Tufurahi, inakubali windows 7, 8, 10, 11.

Start-Menu

Member
Joined
Sep 10, 2023
Posts
14
Reaction score
66
Kumbukizi ya moja ya Games za zamani zilizochezwa sana na watoto na vijana miaka ya 2000 ni Need for speed.

Unakumbuka kuicheza?

Ulikuwa na umri gani?

ipakue hapa chini ukumbushie enzi 🙂

Dah ebhana ee!! mi nime cheza tangu 2002 hadi 2009, ilikuwa inapigwa knockout ya kufa mtu.

Nilikuwa niko radhi nisiende vipindi vya mchana shuleni niende kucheza na wengine, keyboard moja watu wawili

1. Download hapa (MB 103) >> Need For Speed Download

2. Extract

3. fungua file la config.exe

4. minya more options

1696006117087.png

5. Weka tiki kwenye "no movie" kisha minya "save and launch", game irafunguka.

1696006034172.png

Kwa wale ambao game itakuwa taratibu, badili hii sehemu iwe Directx 6

1696006379159.png

VYA ZIADA

Wale mnaotaka ushindani uongezeke, game ikifunguka nenda sehemu ya "Opponenents", Nenda "Skill Level", badili iwe "Advanced".

Kupata magari ya Fze, tombstone na Bomber, ingia sehemu ya kuchagua gari andika fzr2000
 
View attachment 2765521

Kumbukizi ya moja ya Games za zamani zilizochezwa sana na watoto na vijana miaka ya 2000 ni Need for speed.

Unakumbuka kuicheza?

Ulikuwa na umri gani?

ipakue hapa chini ukumbushie enzi 🙂

Dah ebhana ee!! mi nime cheza tangu 2002 hadi 2009, ilikuwa inapigwa knockout ya kufa mtu.

Nilikuwa niko radhi nisiende vipindi vya mchana shuleni niende kucheza na wengine, keyboard moja watu wawili

1. Download hapa (MB 100) >> Need For Speed Download

2. Extract

3. fungua file la config.exe

4. minya more options

View attachment 2765411

5. chagua no movie kisha minya save and launch, game irafunguka.

View attachment 2765410

Wale mnaotaka ushindani uongezeke, game ikifunguka nenda sehemu ya "Opponenents", Nenda "Skill Level", badili iwe "Advanced".
Nimeingiza kwenye PC yangu linakua slow sana
 
Need for speed ,nilikua nakubali pale magari na Helicopter za polisi inavokichafua kutukimbiza majambaka🔥
 
Most wanted unyama sana miaka hiyo
 
Attachments

  • images (21).jpeg
    images (21).jpeg
    51.7 KB · Views: 2
Mimi nilikua natumia lotus ile au ford indigo
Hazina top speed ila acceleration ni ya maana
So hizi barabara za mwanzo nilikua namaliza wa mwisho mwisho ila kwanzia ile ya beach naanza kusumbua
Hio ni knockout😁😁😁🤝
 
Back
Top Bottom