TBT; Samia: Nendeni mkapige kura kwa CCM, kwa sababu hata mkipiga kura mahali pengine, CCM bado itaunda serikali

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Katika kampeni za mwaka 2020 uchaguzi mkuu aliyekuwa mgombea mwenza wa Hayati Magufuli ambaye kwa sasa ndiye Rais Samia alisikika akisema, Nendeni mkapige kura kwa CCM, kwa sababu hata mkipiga kura mahali pengine, CCM bado itaunda serikali

Yani CCM kauli zao zinawafunga wenyewe kwa wanayo yafanya.

Your browser is not able to display this video.
 
Msigwa:Wananchi puuzieni habari hii maana hata uchunguzi wa serikali umebaini ni AI,na kama hamuamini jaribuni kuchunguza kwa makini mama Hana ushungi kama huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…