Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Uhuruto siyo watu wazuri [emoji23]Ahadi ilikuwa hii
View attachment 915504
Mwisho wa siku yakaja haya makopo ya changaa
View attachment 915505
Wao washaona matunda yake safari imekuwa ya muda mfupi sana toka Nairobi Mombasa. Vipi sisi tunaletewa nini labda
Hao ndio wanasiasa wakweli maana wanjuwa kudanganya.Uhuruto siyo watu wazuri [emoji23]
Nairobi hadi Mombasa kwa Treni ni masaa6, huo muda mfupi unamaanisha nin?Wao washaona matunda yake safari imekuwa ya muda mfupi sana toka Nairobi Mombasa. Vipi sisi tunaletewa nini labda
Ati masaa 6.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bus inaenda na masaa 6 SGR kazi yake ni gani churaii. Fika Kenya wacha porojo na imagination hapa. SGR ni 4hrs to Mombasa.Nairobi hadi Mombasa kwa Treni ni masaa6, huo muda mfupi unamaanisha nin?
Au hata boda hujawahi Vuka halafu unajihusisha kwa mijadala kama hii
Sijui hata mlifanya nini, Imagine hapo you'll need another 3Hrs to access the remotely located stations. Pathetic projectAtAti masaa 6.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bus inaenda na masaa 6 SGR kazi yake ni gani churaii. Fika Kenya wacha porojo na imagination hapa. SGR ni 4hrs to Mombasa.
Ulifungua huu uzi baada ya kutokwa na povu kisa ndege ilitua NY.
Ukweli ni masaa sita. Haina tofauti na basiAtAti masaa 6.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bus inaenda na masaa 6 SGR kazi yake ni gani churaii. Fika Kenya wacha porojo na imagination hapa. SGR ni 4hrs to Mombasa.
4hrsUkweli ni masaa sita. Haina tofauti na basi