Umeshawahi kupanda hiyo treni?4hrs
Hahaha Watanzania mna vituko duAhadi ilikuwa hii
View attachment 915504
Mwisho wa siku yakaja haya makopo ya changaa
View attachment 915505
Masaa 6!!Nairobi hadi Mombasa kwa Treni ni masaa6, huo muda mfupi unamaanisha nin?
Au hata boda hujawahi Vuka halafu unajihusisha kwa mijadala kama hii
Nairobi hadi Mombasa kwa Treni ni masaa6, huo muda mfupi unamaanisha nin?
Au hata boda hujawahi Vuka halafu unajihusisha kwa mijadala kama hii
Hizo ni model 2 tofauti kakaaAhadi ilikuwa hii
View attachment 915504
Mwisho wa siku yakaja haya makopo ya changaa
View attachment 915505
Hi 👋Umeshawahi kupanda hiyo treni?
Hi.. hw are u Janerose?Hi [emoji112]
Niko poaHi.. hw are u Janerose?
Labda ulitumia usafiri binafsi ukatumia masaa 6 au ulipanda basi bovu likaharibika njiani. Ila kwa mabasi mazima ni masaa matatu hayazidi, na kwa usafiri binafsi pia kwa mwendo wa 50/80 km/hr Dar - Moro. Acha kupotosha mkuu.Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...
Binafsi nimesafiri mara nyingi Dar to Morogoro nikitumia aidha gari binafsi au usafiri wa mabasi ya Aboud, na hunichukua masaa sita kwa huo umbali wa kilomita 200km
SGR ya Kenya, Nairobi to Mombasa umbali wa kilomita 500km huchukua masaa manne, huo ni umbali mara mbili zaidi ya Dar to Moro.
Huu usafiri wa SGR unawabeba wasafiri wengi kwa mpigo na mizigo yao, yaani kwa sasa hivi ni biashara kwa kwenda mbele, waulize Wapemba ambao wamechangamkia hii fursa wakati nyie mnalea machungu na wivu kwa jinsi mlivyo mivivu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] AiseeeAhadi ilikuwa hii
View attachment 915504
Mwisho wa siku yakaja haya makopo ya changaa
View attachment 915505
Tupe sababu ya wewe kuchukua masaa 6 kwa umbali wa km 200.Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...
Binafsi nimesafiri mara nyingi Dar to Morogoro nikitumia aidha gari binafsi au usafiri wa mabasi ya Aboud, na hunichukua masaa sita kwa huo umbali wa kilomita 200km
SGR ya Kenya, Nairobi to Mombasa umbali wa kilomita 500km huchukua masaa manne, huo ni umbali mara mbili zaidi ya Dar to Moro.
Huu usafiri wa SGR unawabeba wasafiri wengi kwa mpigo na mizigo yao, yaani kwa sasa hivi ni biashara kwa kwenda mbele, waulize Wapemba ambao wamechangamkia hii fursa wakati nyie mnalea machungu na wivu kwa jinsi mlivyo mivivu.
Simply put ni ati infrastructure yenu ni mbovu.Tupe sababu ya wewe kuchukua masaa 6 kwa umbali wa km 200.
Hiyo ingekua sababu angeisema bila kusita. Jamaa anaongeaga uwongo ila siyo uwongo wa kijinga kama wako, wewe siku ukitoka Kenya Dunia ita anguka [emoji2]Simply put ni ati infrastructure yenu ni mbovu.
Yo should refute His claims with facts ila unapiga tu kelele. Mimi nimeenda nchi kadhaa mkuu na siringi.Hiyo ingekua sababu angeisema bila kusita. Jamaa anaongeaga uwongo ila siyo uwongo wa kijinga kama wako, wewe siku ukitoka Kenya Dunia ita anguka [emoji2]
Machakos na Bungoma siku hizi zimekua nchi [emoji23]...wewe endelea kupiga ma round hapo KorogochoYo should refute His claims with facts ila unapiga tu kelele. Mimi nimeenda nchi kadhaa mkuu na siringi.
Sawa mkuu.Machakos na Bungoma siku hizi zimekua nchi [emoji23]...wewe endelea kupiga ma round hapo Korogocho
Poa.. wasalimie wasee wa mtaaSawa mkuu.
Eti korogocho[emoji2] [emoji2]Machakos na Bungoma siku hizi zimekua nchi [emoji23]...wewe endelea kupiga ma round hapo Korogocho