TBT: Story iliyofanya nikajiunga JF, story iliyofanya nikapata my favorite nickname, Kongole kwa huyu member japo kapotea

TBT: Story iliyofanya nikajiunga JF, story iliyofanya nikapata my favorite nickname, Kongole kwa huyu member japo kapotea

Uboboh

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2023
Posts
307
Reaction score
904
Hahah kwanza ni kitambo kipindi hiko nina kasimu kadogo kwenye batani na browser ya operamini (itel) huduma ya freebasic ilikuwepo Airtel hivyo JF niliipata bure kabisa. Niliisoma hii story for 3yrs (darasa la 5 mpaka darasa la 7 Nilisoma story nyingi humu za mapenzi pia Facebook nilisoma soma saaana) 2015 to 2017 Mapaka 2018 Nilipokutana na chuma hiki

Nilipenda username yake na nilijitafuta mpaka nikapata nickname yangu HEAVYBOY. Japo nilikuwa nautumia huu mtandao ila haswa kilichofanya nikaujua huu mtandao ni search kuhusu programming kipindi nipo na 13yrs baadae kuja kukutana na hili story ikafanya kuwa sehemu ambayo nimestick mpaka leo

Hii hapa story ya Heavy Weight
Thread 'Walivyonifanyia mabinti, kabla na baada ya balehe' Walivyonifanyia mabinti, kabla na baada ya balehe
 
Hahah kwanza ni kitambo kipindi hiko nina kasimu kadogo kwenye batani na browser ya operamini (itel) huduma ya freebasic ilikuwepo Airtel hivyo JF niliipata bure kabisa
Niliisoma hii story for 3yrs (darasa la 5 mpaka darasa la 7 Nilisoma story nyingi humu za mapenzi pia Facebook nilisoma soma saaana) 2015 to 2017 Mapaka 2018 Nilipokutana na chuma hiki

Nilipenda username yake na nilijitafuta mpaka nikapata nickname yangu HEAVYBOY
Japo nilikuwa nautumia huu mtandao ila haswa kilichofanya nikaujua huu mtandao ni search kuhusu programming kipindi nipo na 13yrs baadae kuja kukutana na hili story ikafanya kuwa sehemu ambayo nimestick mpaka leo

Hii hapa story ya Heavy Weight
Thread 'Walivyonifanyia mabinti, kabla na baada ya balehe' Walivyonifanyia mabinti, kabla na baada ya balehe
Anza Kwa kusalimia wakubwa zako wewe ni MWANANGU wa kuzaa kabisa....
 
Back
Top Bottom