TBT: YouTube walilazimika kuondoa dislikes ili kumlinda Rais baada ya Joe Biden kupata dislikes nyingi kila video anayoweka

TBT: YouTube walilazimika kuondoa dislikes ili kumlinda Rais baada ya Joe Biden kupata dislikes nyingi kila video anayoweka

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi.

Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.

10.PNG


13.PNG


1.PNG


4.PNG

5.PNG

6.PNG

7.PNG

8.PNG

2.PNG
 
Ana gundu
Aliingia kimchongo sana, usahaulifu uliopitiliza na kudondoka mara kadhaa vilimsumbua, Walinzi wa ikulu wamewahi kuripoti kukuta cocaine inaweza kuwa ni yeye aliisahau
 
Back
Top Bottom