G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Aug 30, 2024 #1 Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi. Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.
Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi. Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Aug 30, 2024 #2 Ana gundu
G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Aug 30, 2024 Thread starter #3 Naby Keita said: Ana gundu Click to expand... Aliingia kimchongo sana, usahaulifu uliopitiliza na kudondoka mara kadhaa vilimsumbua, Walinzi wa ikulu wamewahi kuripoti kukuta cocaine inaweza kuwa ni yeye aliisahau
Naby Keita said: Ana gundu Click to expand... Aliingia kimchongo sana, usahaulifu uliopitiliza na kudondoka mara kadhaa vilimsumbua, Walinzi wa ikulu wamewahi kuripoti kukuta cocaine inaweza kuwa ni yeye aliisahau