gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Leo kwenye kipindi cha Friday night kinachorushwa na EATV km kawaida yao ya Kuwaita wasanii na kuwahoji baada ya ma underground kibao kuhojiwa ikafika ZAMU ya ney wa motego na Mimi mars na ney wa mitego wakahojiwa but young killer alikuwa nje muda ukawa unaelekea tamati halafu dogo haitwi so akamua kuingia tbway360 KWA dharauu akamuambia unaingia tu hugongi hata hodi hapa SIO chooni SIO maneno mazuri cuz yk ni msanii mkubwa hakustahili kubiwa hivo