Put some respek on them OGs.Leo kwenye kipindi cha Friday night kinachorushwa na EATV km kawaida yao ya Kuwaita wasanii na kuwahoji baada ya ma underground kibao kuhojiwa ikafika ZAMU ya ney wa motego na Mimi mars na ney wa mitego wakahojiwa but young killer alikuwa nje muda ukawa unaelekea tamati halafu dogo haitwi so akamua kuingia tbway360 KWA dharauu akamuambia unaingia tu hugongi hata hodi hapa SIO chooni SIO maneno mazuri cuz yk ni msanii mkubwa hakustahili kubiwa hivo
Kweli? But KWA foleni za dar kuchelewa ni kawaida lakini tbway hakutumia uungwana kumuambia maneno hayo Huyo dogo halafu ukampa mic ney amuhojimtu anaambiwa njoo saa 2 anakuja saa 3 huyu mtu anaheshima??hata mimi tukipanga miadi ni saa flan ukichelewa imekula kwako,ye analeta usanii kwenye kazi za watu
Nashukuru sana awamu ya 5 kwa tukio hili.Aheshimu utaratibu wa ofisi ya watu
Nashukuru sana awamu ya 5 kwa tukio hili.
Kweli? But KWA foleni za dar kuchelewa ni kawaida lakini tbway hakutumia uungwana kumuambia maneno hayo Huyo dogo halafu ukampa mic ney amuhoji
Amemwambia ukweli, ofisi za watu lazima ziheshimiwe.Leo kwenye kipindi cha Friday night kinachorushwa na EATV km kawaida yao ya Kuwaita wasanii na kuwahoji baada ya ma underground kibao kuhojiwa ikafika ZAMU ya ney wa motego na Mimi mars na ney wa mitego wakahojiwa but young killer alikuwa nje muda ukawa unaelekea tamati halafu dogo haitwi so akamua kuingia tbway360 KWA dharauu akamuambia unaingia tu hugongi hata hodi hapa SIO chooni SIO maneno mazuri cuz yk ni msanii mkubwa hakustahili kubiwa hivo