TCAA training intervew

mamabaraka

Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
92
Reaction score
14
wadau wenye taarifa kuhusu hizo interview vp tcaa wameisha toa shortlist maana siku zinapita hatujui kinachoendelea.
 
Serikali haina ela inavodai ila kuna mdau humuhumu jf alisema alikwenda kuuliza akaambiwa january hii wataanza kuita.Ila tatzo hawajasema tarehe husika.Nafkir akiona sired yako atakupa info
 
Bado ndugu wanaanza na post za ma-managers and senior posts.
 
asanteni wadau, atakaepata taarifa tufahamishane. Asanteni sana kwa taarifa.
 
wadau wenye taarifa kuhusu hizo interview vp tcaa wameisha toa shortlist maana siku zinapita hatujui kinachoendelea.
kaka aptitude test ni tar 10-01-2012 .watu wamepigiwa simu wakacchukue barua kuanzia jana. Fore more info wapigie tcaa 222198196.
 
Mi mwenyewe na jamaa yanagu tumepigiwa simu na barua tunazo mkononi ila sijui maana jamaa ananiambia barua zipo nyingi
 
du kwahyo ambao hatujapigiwa simu hatujawa shortlisted. Ila sometimes simu haipo reliable sana, usipokuwa hewan unakosa interview.TCAA Wangejitahdi kutoa shortlist hata kwenye website yao. Ili watu tote wapate taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…