Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

Mamamamamamayake
 
Hawana lolote hawa. Hicho kibali wamekitengeneza baada ya Lissu kuwapuuza.

Mbele ya Lissu na wananchi tayari washaonekana ni takataka. Wanalo hili dadeki!
 
Hao wenye helkopita wangeruka wangetua wapi sasa bila idhini? na je wangetua kisha kuzuiwa hiyo helikopita yao mpaka walipe faini za kutosha Lissu angewalipia au wangelipa wenyewe?
 
#Kibali cha TCAA kutua anga la Tanzani. Watu mnatakiwa muwe mnatafuta taratibu za uendeshaji wa vifaa vya kiufundi hasa vitumiavyo anga. Soma sheria ya TCAA (Tanzania Civil Aviation Act, Regulations & Directives for hellicopter operators). Jiepushe kuwa sehemu ya upotoshaji kwa sababu tu kuzidiwa na mahaba ya kisiasa. Safety in aircraft operation is the first priority.
 

Attachments

Too late.....mshatengeneza chuki, na kesho ni machinjioni
 
Katika kipindi hiki cha kampeni lolote linawezekana. Kwamba Lissu anaweza kuwa kachukua advantage ya kisiasa dhidi ya TCAA na serikali inayoongozwa na wapinzani wake CCM au TCAA wamefanya blunder ili kuinusuru CCM, hivyo wanataka kujisafisha tu.

Japo kwa uzoefu wa kipindi hiki cha kampeni kiukweli tumesikia mara nyingi hii mamlaka ikihusishwa kudhibiti harakati za kisiasa za Lissu hasa upande huo wa anga anapokuwa akihitaji kutumia usafiri huo. Hii si sawa hata kidogo, mamlaka itumike kama ilivyokusudiwa na si vinginevyo. Itachochea hasira kwa wafuasi wa Lissu ambao pia ni wananchi wa Tanzania.

Tumeshuhudia taasisi nyingi za kiserikali na vyombo vya dola zikitumika kukandamiza wapinzani. Hili nalo si sawa kabisa. Watumishi wa serikali wafanye kazi kwa ueledi na taaluma kuitumikia serikali na si kwa matakwa ya vyama vya siasa hasa chama tawala. Hii ni nchi ya kidemokrasia.
 
Wee taahira la lumumba kakojoe ulale jinga wewe
 
Mamlaka ni waongo na hawaaminiki. Bora hawawapi taarifa kamili maana wanaweza kufanya lolote kutokana na mambo ambayo wamefanya kwenye kipindi hiki cha kampeni.
 
Hakuna Rubani yeyote mwenye leseni na mwenye akili timamu atakayekubali kuruka bila idhini ya Mamlaka ya Anga! Kufanya hivyo maana yake ameamua kuondoka kwenye huduma ya kurusha ndege Kitaifa na Kimataifa!!
Kama serikali yako inaamua kuzima internet nchi nzima bila sababu zozote za msingi isipokuwa tu kumwogopa Tundu Lissu na CHADEMA kutema cheche watashindwa nini kumfanyia hujuma kama hii ya kufanya flight tactical delayment pale KIA ili mradi tu ashindwe kufika kwenye mkutano muhimu DSM eti ili kumzulia lawama kwa melfu ya watu waliokuwa wanamsubiri uwanjani - DSM?

Acheni ujinga na upumbavu wa karne ya 17 nyie. Tuko karne ya 21 sasa, karne ya sayansi na teknolojia. Helicopter inaruka tu na inaweza kutua hata juu ya Nyumba, hakuna wa kuingia kwenye shida hiyo..

Imefanyika hivyo na ilishafanyika kwingine mara nyingi tu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…