Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

Kwani wakiomba saa 3 kuna nini hivi wanadhania wao tu ndiyo wanaifahamu vizuri hiyo sector ya aviation. Sasa kama wameomba saa 3 ilikuwaje hadi saa 7 kibali kisipatikane. Hebu waache huo ushabiki wa Siasa wao siyo wanasiasa wasijiingize huko
 
Chadema ni kiwanda cha uongo

Ni aibu sana kwa tasisi kubwa kama hiyo kujiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa, wamevuruga ratiba ya kampeni kusini ili kumlinda boss wao. Na leo walitaka asifunge kampeni sababu boss wao hakufunga kampeni kama ilivofanya NEC kumfungia wakati mgombea wao anapumzika
 
TCAA kuihamini ni sawa na kumwamini sirro anaekwambia zenji hakuna majeruhi Wala vifo
 
Na mwenye ndege anaruhusu kwani amepandwa na ujinga gani au aliokota pesa ya kununua hiyo helicopter? Na kuna uwezekano jeshi letu la anga likaichukulia ni ndege ya adui kwa kuwa haina utambulisho angani wa mamlaka husika.
Its Possible ndege kuruka bila kibali, i mradi tu watu wawe responsible na uvunjaji huo wa sheria.

Kulikuwa na Taharuki KIA Nilidokezwa kwamba 20 minutes baada ya kupaa lisu, kibali ndo kilitolewa, wakafanya utaratibu wampatie. Maana landing dar lazima kibali kiwepo..!!
Hivyo aliondoka bila kibali jamaa.

Ila jamaa kwanini mvunjaji wa sheria hivi? Kuna haja gan ya kulazimishia mambo?
 
Ona ulivyo hauna akili !!!
 
Nisababu ya hofu ya kupigwa ban lakini huyu kenge alikuwa anapaswa kutukanwa zaidi ya upimbi wenyewe.
 
Lissu amefikia hatua za kuwadharau wafuasi wa CDM yaani jambo ambalo lipo wazi aliwezekani na uongo wa mchana kweupe utakuta wanashangalia.

Kwakweli inasikitisha it’s just an insult of people intelligence.
 

..🤣🤣

..CCM wakati mwingine bila kushurtishwa mambo hayaendi.

..mtu ana ratiba ya kufunga kampeni, tukio linalotokea kila baada ya miaka 5, halafu tcaa wanaleta longolongo la vibali.

..Ujinga huohuo walimletea wiki iliyopita wakasababisha TL asifanye kampeni Mtwara na Nachingwea.
 
Naona matusi kibao kutetea dikteta uchwara
 
Lissu amefikia hatua za kuwadharau wafuasi wa CDM yaani jambo ambalo lipo wazi aliwezekani na uongo wa mchana kweupe utakuta wanashangalia.

Kwakweli inasikitisha it’s just an insult of people intelligence.

..Kuna kipindi Watanzania walikuwa wanaamini IGP akikuita kituoni lazima uende, sasa Tundu Lissu ametufundisha kwamba unaweza usiende.
 
Mbona hawajajibu na zile mambo za kunyima kujaza mafuta Mtwara na vimbunga feki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…