Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

..Kuna kipindi Watanzania walikuwa wanaamini IGP akikuita kituoni lazima uende, sasa Tundu Lissu ametufundisha kwamba unaweza usiende.
Ni kwa sababu awakutaka kumpa kiki alizokuwa anatafuta kipindi cha campaign. I am sure baada ya uchaguzi akivunja sheria akiitwa asipoenda wataenda mbeba juu kwa juu popote halipo ndani ya Tanzania.
 
Ni kwa sababu awakutaka kumpa kiki alizokuwa anatafuta kipindi cha campaign. I am sure baada ya uchaguzi akivunja sheria akiitwa asipoenda wataenda mbeba juu kwa juu popote halipo ndani ya Tanzania.

Lissu huwa havunji sheria.
 
Acheni kuwafanya watu kuwa mafala kama nyie walamba viatu. Unataka kuwapotosha akina nani waamini huu ujinga wenu na mawakala wenu akina TCAA? Unataka kutuambia kwamba huyu rubani na mmiliki wa hiyo helicopter hawajui taratibu za kuomba kibali? Ndio mara ya kwanza kukodishwa na hawajui jinsi ya kujaza itinerary? Sijui mleta mada hilo fuvu lako umejaza nini humo. TCAA wametoa kibali kwasababu Lissu aliamua liwalo na liwe TCAA wakaona sababu zao za kipumbavu zitawatia hatiani lolote likitokea ndio wakaamua kutoa kibali na kueneza propaganda za kiccm zisizo na chembe hata kidogo ya weledi. Mtanyooka tu.
 
Lissu siku zote ni mwongo. Hafai hata kuitwa baba kwa uongo wake. Watanzania tumfundishe heshima kwa kutompigia kabisa kura, abaki na waongo wenzake wa Ufipa. Mtu mzima laying mwongo wa ajabu.
 
Haha aise Mungu angekua mgombea sijui ingekuaje!!!

Ili ni anga letu wazawa ila kuliruka mpaka uombe vibali

Superman kodi yake ingekua sh ngapi?
Tumia akili kuchangia hoja kama hizi ndugu.
 
At least nimeona mchango umetaja technicalities, FLIGHT PLAN! Unajua flight plan inatakiwa iwasilishwe lisaa limoja kabla ya Safar kwa uchache. Na kama kuna marekebisho hapo hapo ulipo i submit unaoneshwa unapewa na copy yako iliyosainiwa period. It's not a big deal.
Sasa watu wali submit tangu asubuhi huko kwa Safar ya mchana.

Anyways TCAA na sisiem inachukulia kila mtu Tanzania ni mbumbumbu.
 
Hao bila uongo na kufanya vitu kwa makusudi.. hawatulii.. na wanajua sana kuwadaka.. wafata upepo.. kisa wengi wao wavivu tu.. hawapendi kuwa ya kudokoa mali za Umma hayapo tena kwao kama zamani..

Magufuli 💛💚💛💚💛💯
 
Ni kwa sababu awakutaka kumpa kiki alizokuwa anatafuta kipindi cha campaign. I am sure baada ya uchaguzi akivunja sheria akiitwa asipoenda wataenda mbeba juu kwa juu popote halipo ndani ya Tanzania.
Kesi uchwara nazo zile aliitwa akasema waache upuuzi natafuta wadhamini?!! Na baada ya wadhamini akasema waache ujinga nimechoka baada ya kuzungukia wadhamini?!
 
Lissu siku zote ni mwongo. Hafai hata kuitwa baba kwa uongo wake. Watanzania tumfundishe heshima kwa kutompigia kabisa kura, abaki na waongo wenzake wa Ufipa. Mtu mzima laying mwongo wa ajabu.
Laying maana yake nini 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
 
Alishaondoka kuwahi mkutano na alitua salama...zilizobaki zote ni hadithi
 
Nilijua tangu jana kuwa hawa chadema walikua wanatafuta kiki
Watu wa ajabu Sana hawa.
 
Haha aise Mungu angekua mgombea sijui ingekuaje!!!

Ili ni anga letu wazawa ila kuliruka mpaka uombe vibali

Superman kodi yake ingekua sh ngapi?

Usimkufuru Mungu . Udhani angani ni kama unaenda chooni ? Huko chooni tu nako lazima upige Jodi , labda Choo cha chumbani mwako.
 
Kwani yule rubani Mtanzania aliyeiba ndege ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1977 Jumuiya ilipovunjika aliirusha ndege kwa ruhusa ipi?
hivi nani aliwaleta nyie wapuuzi hapa JF?kwa ruhusa ipi wakati ndege zote tulizulumiwa na Kunya,unaongea nini we mama
 
Nchi hii wanaokosea ni wapinzani peke yao CCM na serekali yake hawakoseagi sijui wamekuwa mungu hata kama wapinzani watakaa meza moja na CCM wakafanya jambo moja kwa pamoja au wakakopi jambo lilelile lililofanywa na CCM bado wapinzani wataonekana wamekosea.
 
Mmmmh jamaa anaweka mizaha na uzushi hadi katika maswala ya taaluma za wengine..... urais sio kuvuta sigara...
 
Huyu mtu ana maamuzi magumu Sana ana spirit ya aina yake iliyo na imani ya jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…