TCB inaonesha mubashara mechi kati ya TCB na Bunge FC ila katika ‘Quality’ mbaya

TCB inaonesha mubashara mechi kati ya TCB na Bunge FC ila katika ‘Quality’ mbaya

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Habari wadau, leo TBC wapo Live kuonyesha game yao dhidi ya Bunge FC. Kwa kweli ndio maana hawaonyeshi mechi za timu ya taifa maana ni aibu, camera zao ni za kiwango cha chini sana. Vigumu kuwatambua wachezaji, picha ina uweusi, hata kugundua mpira Uko wapi ni changamoto.

Ni vyema kukubali kuwa kiwango ni cha chini kuliko kujisifia pasipo na ubora, kuwafikia Azam kwenye Live events za sports itachukua muda sana.
IMG_20210605_164208.jpg
IMG_20210605_164147.jpg

IMG_20210605_164200.jpg
 
Afu ndowalitaka kuonyesha ligi kwa hali hii
 
Tatizo lako we umeangalia TCB ungeweka TBC ..
 
Habari wadau, leo TBC wapo Live kuonyesha game yao dhidi ya Bunge FC. Kwa kweli ndio maana hawaonyeshi mechi za timu ya taifa maana ni aibu, camera zao ni za kiwango cha chini sana. Vigumu kuwatambua wachezaji, picha ina uweusi, hata kugundua mpira Uko wapi ni changamoto.

Ni vyema kukubali kuwa kiwango ni cha chini kuliko kujisifia pasipo na ubora, kuwafikia Azam kwenye Live events za sports itachukua muda sana.View attachment 1809114View attachment 1809117

View attachment 1809116
Mechi ya wanafique vs wakujipendekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Jobo kaimudu vema nafasi ya kiungo mkabaji
 
Back
Top Bottom