Mechi ya wanafique vs wakujipendekezaHabari wadau, leo TBC wapo Live kuonyesha game yao dhidi ya Bunge FC. Kwa kweli ndio maana hawaonyeshi mechi za timu ya taifa maana ni aibu, camera zao ni za kiwango cha chini sana. Vigumu kuwatambua wachezaji, picha ina uweusi, hata kugundua mpira Uko wapi ni changamoto.
Ni vyema kukubali kuwa kiwango ni cha chini kuliko kujisifia pasipo na ubora, kuwafikia Azam kwenye Live events za sports itachukua muda sana.View attachment 1809114View attachment 1809117
View attachment 1809116