N ng'adi lawi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 2,956 Reaction score 1,114 Feb 7, 2015 #1 Hii kampuni mbona haitangazi gawio kwa wanahisa au imefilisika? Ni miaka miwili sasa wanahisa hatujapata gawio na hatuna mawasiliano nao.Brela chunguzeni.
Hii kampuni mbona haitangazi gawio kwa wanahisa au imefilisika? Ni miaka miwili sasa wanahisa hatujapata gawio na hatuna mawasiliano nao.Brela chunguzeni.
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,659 Feb 7, 2015 #2 hahahahaha sasa BRELA wachunguze nini kwenye dividend?